You are here

Back to top

Mfalme Chui Mkatili (Paperback)

Mfalme Chui Mkatili Cover Image
$12.99
Usually Ships in 1-5 Days

Description


Mfalme Chui hataki kufanya kazi kutafuta chakula. Anataka wanyama wawe wakijileta kwake ili awaue na kuwala. Wanyama wanapatwa na hofu kubwa. Halafu Nyani anatokea na mpango unaomfanya Chui kujiua. Hii ni hadithi ya kitamaduni ambayo imesimuliwa kwa njia ya kisasa na kufanyiwa michoro ambayo bila shaka itasaidia katika kuielewa.


Product Details
ISBN: 9789966472281
ISBN-10: 9966472282
Publisher: Phoenix Publishers
Publication Date: June 30th, 2022
Pages: 36
Language: Swahili